UNA MUNGU… Ni wimbo mpya kutoka kwa Ellen Singers. Ni wimbo wa faraja kwako na kwa rafiki yako kumwinua kutoka katika kukata tamaa. Mungu akaupe kibali mioyoni mwetu ili tuongeze kujiamini.

 Nina Mungu, Una Mungu.